Mkurugenzi Mtendaji wa Mrutu Agro-Solutions Company Limited Bw.Philipo Fahamuel Mrutu ameshiriki na kuhitimu mafunzo ya uzalishaji wa mbegu (Vipando na Miche) kutoka taasisi ya TOSCI ambapo mafunzo hayo yalifanyika kuanzia tarehe 29/06/2022 hadi tarehe 01/07/2022 katika Ukumbi wa Morena Hotel Morogoro Mjini.
Kwa niaba ya wadau tulio pata mafunzo, tunawashukuru sana wadau walio andaa mfumo huu kwaajili ya kuhakikisha ubora wa Miche tunayo uza kwa wakulima wetu ili kuongeza tija na kuboresha Kilimo Biashara nchini. Kipekee tunawashukuru Wizara ya Kilimo, SAGCOT, AGRA, SUA, TARI na wadau wengine wanao husika kwa namna Moja au nyingine. Tumepata kujifunza mengi sana na tutayazingatia kwenye utoaji wa huduma zetu.
Karibuni sana wadau wote wa Kilimo Biashara, Ufugaji na Ujasiriamali tuendelee kuwapatia kilicho Bora
MICHE BORA YA AINA ZOTE
Michungw, Miembe, Parachichi/ Avocado,Madaransi,Mitopetope,Stafeli,Minanasi ,Komamanga, Mifenesi, Papai,Milongelonge,Mibuni/Kahawa(Cofee),Passion fruit Zaituni,Pachira nuts ,Karafuu,Vanilla ,Pitches ,Macademia nuts ,Abdalasini, Mipera ,komamanga ,Mbilimbi ,Mikorosho, Kokoa,Fenesi, Strawberry, Migomba,Minazi, Pomelo,Chenza,Ndimu Limao
Wito: Tupende kuotesha miche mbalimbali kama vile ya matunda, mbogamboga, miti ya mbao na ya kivuli, majani ya malisho ya mifugo na maua; na kufanya miradi mingine ya Kilimo na Ufugaji inayolenga kutunza na kuhifadhi mazingira yetu ya asili; Kilimo Hai kwa maendeleo endelevu. Karibu sana upate huduma zote za Kilimo Biashara na Ujasiriamali kutoka Mrutu Agro-Solutions Company Limited, S.L.P 16, Morogoro. Website:
www.mrutuagrosolutions.co.tz; Simu: 0753442903, " _Suluhisho Makini kwa Kilimo na Ufugaji"_