ELIMIKA KATIKA UFUGAJI SAMAKI SATO NA KAMBALE -Ni kitabu bora kilichoandikwa na mtaalam wa ufugaji Samaki Bwana Venance John Makemba.*
Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili ambacho kimeelezea kwa kina mambo mbalimbali yanayohusu ufugaji samaki- kama vile:-
1. Faida za ufugaji samaki*
2. Maandalizi ya kuanza kufuga samaki
3.Miundombinu ya Ufugaji samaki
4.Hatua za uendeshaji wa mradi wa samaki
5. Changamoto na magonjwa ya samaki
6. Utengenezaji wa chakula cha samaki
Na mambo mengine mbalimbali yanayohusu Ufugaji wa samaki.
NB
Kwa kila sura ina kipengele cha maswali na majibu mbalimbali ya ufugaji samaki hivyo ni suluhisho makini kwa Ufugaji wa samaki.
Pia kipo mfumo wa Hard copy
Bei ya kitabu ni Elfu 20,0000