Ni kitabu kinachoeleza ufugaji wa ng'ombe kisasa zaidi kwa kuzingatia kanuni na taratibu za ufugaji bora kiujumla ambazo zitamsaidia Mfugaji kujiingizia kipato na faida kubwa
Jipatie nakala yako pendwa (Kitabu cha Ufugaji wa Ng'ombe) kwa bei nafuu shilingi 10,000/= tu popote ulipo kitakufikia
Au unaweza kufika ofisini kupata nakala yako pia. Kwenye kampuni yetu kuhusu ufugaji wa ng'ombe,,,tunatoa huduma kadha wa kadha zikiwemo:-
1.Kupatiwa mbegu bora za ng'ombe wa maziwa
2.Kujengewa mabanda bora na ya kisasa
3.kuandikiwa mradi wa ufugaji wa ng'ombe na mifugo mingine
4.kupewa mafunzo ya ufugaji wa kisasa wenye tija kibiashara kwa watu waliowekeza au wanaohitaji kuwekeza kwenye miradi hiyo.
5.Kupewa huduma ya chanjo ya ng'ombe
6.Kupatiwa huduma ya masoko kwa mazao ya ng'ombe
7.Huduma ya upandikizaji wa mbegu kwa jike zaidi (Artificial Insermination -AI)
8.Huduma ya utambulisho vikadi kwa wanyama (animal identification)
9.Huduma ya kuogesha mifugo kwa kutumia madawa mfano paranex
10.Huduma ya kupandiwa majani ya malisho kwa ajili ya ng'ombe mfano Rhodes,Napier, Bricharia n.k
Kwa mawasiliano zaidi piga simu no
0692472115 Afsa Mifugo- Happyness Karoly
Au tembelea tovuti yetu
www.mrutuagrosolutions.co.tz